Matthew 5:27-28

27 a“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ 28 bLakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Copyright information for SwhKC